Beautiful boy is that for sure But baby girl is playing him like a toy He's been in my bed Sunday to Monday, Monday to Sunday Oyoyo, husinifanye mimi poyoyo Lengo lako girl Niachane naye nenda zako hukoo I want you to know, usije ukaniliza girl Hisia zako zitakukandamiza no Girl you should know mi sio type yako Hisia zako peleka kwako Vanessa Mdee Bounce alone, bounce alone Only me can turn him on Bounce alone, bounce alone Vanessa Mdee Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hakuna kuniacha mi (kamwe) Yeyeyeyeye Maua Sama Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hawezi kuniacha mi (kamwe) Yeyeyeyeye Vee Money baby, tell me my boo Maumivu sawa kwangu katu Njoo nikukabidhi moyo wangu Nisije weka sinde kwa babu Maua Sama umenidaka wavu Sifurukuti sifui dafu Ongeza vitamini nitoke sharp Ili wajue the way I love, the way I Mm mami iyoo I want you to know usije ukaniliza girl Hisia zako zitakukandamiza no Girl you should know mi sio type yako Ushauri wako peleka kwako Vanessa Mdee Bounce alone, bounce alone Only me can turn him on Bounce alone, bounce alone (Don't call me ever again) Vanessa Mdee Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hakuna kuniacha mi (kamwe) Yeyeyeyeye Maua Sama Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hawezi kuniacha mi (kamwe) Yeyeyeyeye Tell me boy, unitumie tumie kwako niwe kifaa Tell him don't bother, hao vilaza Wenyewe kusudi nikuache we You gonna let him know When you do me like this Napatwa na goosebumps Oh, yeah, tamu lako penzi Kwako wanapita njia hey Maua Sama When you do me like this Napata na goosebumps Oh, yeah, tamu lake penzi Kwako wanapita njia yeyeyea Vanessa Mdee Bounce alone, bounce alone Only me can turn him on Bounce alone, bounce alone Vanessa Mdee Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hakuna kuniacha mi (kamwe) Yeyeyeyeye Maua Sama Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hawezi kuniacha mi (kamwe) Yeyeyeyeye ooh M-A-U-A Sama Mm, Vee Money on the track