Kuna muda mi nashindwaa aah Kufanya vitu vingi kwako natamani kutimiza, mmh Ila moyo Unajua jinsi gani navyotaka kwenda sawa na wewe Ila moyo Unajua jinsi gani navyotaka kwenda sawa na wewe Na usione kama navunja yako heshima I've been thinking about you all day Na usione na dharau sababu ya jina I've been thinking about you only baby Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu Upendo wetu ndio muhimu, kuwa pamoja mimi na wee Usije nipa wazimu, kisa nakupenda wee Ila jua nafsi yangu (unayo wewe) Na kila kitu changu (ni chako wewe) Naah umia naumia Vanessa Mdee, ukienda nitaumia Na usione kama navunja yako heshima (yeah) Na usione na dharau sababu ya jina (yeah) Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu Aah mama mia Nakupenda Juma weeh Ukiniacha nitalia (yeah) Sambaza me and you, you, everything we do do You my baby boo boo, is just me and you, you Forever me and you, you, everything we do do You my baby boo boo, is just me and you, you I'm thinking about you, you, everything you do do Only about you, you, ooh my baby you, you I'm thinking about you, you, ooh my baby boo boo Only about you, you, you, you Nikipata umepata, mama tunakwenda juu baby Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee) Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee) Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee) Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee) Yoou Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee)