Ey, Vee Money on the track Tabasamu toka kwa mama Ukimya na upolee kwa baba Katukutanisha rabana baby Macho yako yanitazama sana Kama uliniona jana Moyo ndani unabishana Hata ntake kuongea Kweli oh, nishamvuruga Kwahiyo anavuta muda Sio siri oh, oh, oh hataki kunikosa Muda wote anajaribu Nia yake niwe karibu Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama) Kwangu njoo (ya gaeh) Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie) Kwangu njoo (come to me) (Mohombi) Ooh, there she goes Looking at me, pretty girl looking so sweet Yeah she knows I'm looking at her, tryna have her come to me Ooh that love is on fire (and it's not hard to see) That you're my only desire (you're the only one I need) I don't know any much about chemistry But I know that this must be destiny Oh mame Yo koboma ngai (ma chèrie) Yo koboma ngai (my love) Yo koboma ngai (my one and only) Yo koboma Kwangu njoo mama eeh (kwangu njoo) Yagaeenh (kwangu njoo) Kwangu njoo, ma chèrie (kwangu njoo) Come to me Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama) Kwangu njoo (ya gaeh) Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie) Kwangu njoo (come to me) Kweli oh, nishamvuruga Kwahiyo anavuta muda Sio siri oh, oh, oh hataki kunikosa Muda wote anajaribu Nia yake niwe karibu Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama) Kwangu njoo (ya gaeh) Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie) Kwangu njoo (come to me)