Vee Money on the track, yeah
Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikosea

Zungumza nami mchana (la-la-la)
Zungumza nami usiku (la-la-la)
Kama haifai hata ndotoni tu
Usishindane na kichwa (aah)
Tumalizane yakaisha (aah)
Moyo nirudishie maisha (aah)

Mtupu, mtupu nimekwisha
Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo
Moyo unanikosea

Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?)
Umeniadhibu chozi tiba yangu (we haya)
Umeziharibu zote hisia zangu (basi sawa)

Moyo mbona umenitoa chambo?
Moyo we hunanga chanjo
Moyo umenifanya pango
Moyo huishiwi mipango
Waongo wote unawaleta kwangu
Wanaocheati nao ni wa kwangu
Walevi wote nao ni wa kwangu
Mbona unajitesa?

Usishindane na kichwa (aah)
Tumalizane yakaisha (aah)
Moyo nirudishie maisha (aah)

Mtupu, mtupu nimekwisha
Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo
Moyo unanikosea

Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture, moyo?)
We moyo 'asa mbona unanitorture? (Mbona unanitorture?)

We moyo, 'asa mbona unanitorture?
We moyo
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK