Raha ya nyumba mwanaume Wacha nikutunze Nyumba yetu tuipambe Hapo nyuma tulishindiaga mabwende Karanga na Makande Nguru, Ugali dona sembe Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko) Hawaishi (longo longo) Vimaneno kama (viroboto) Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto Jamani sielewi, baby you are Ukimwona (Furaha tele moyoni) Nikimuona (Tabasamu usoni) Ukimwona (Furaha tele moyoni) Nikimuona (Anatabasamu usoni) Naomba uniroge Naomba uniroge Naomba uniroge Kwani mapenzi matamu Naomba uniroge Naomba uniroge Naomba uniroge Sikusifii We mwanaume nguzo Ulishindaga vikwazo Tangu Mwanzo Ulipambana na wenye nazo Ili niwe mali yako Leo, kula vyako You're my dream in my life Hata mi moyoni we ndiyo unanifaa Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko) Hawaishi (longo longo) Vimaneno kama (viroboto) Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto Jamani sielewi, baby you are Ukimwona (Furaha tele moyoni) Nikimuona (Tabasamu usoni) Ukimwona (Furaha tele moyoni) Nikimuona (Anatabasamu usoni) Naomba uniroge Naomba uniroge Naomba uniroge Kwani mapenzi matamu Naomba uniroge Naomba uniroge Naomba uniroge To the left, to the right (Spending my life) To the left, to the right (Spending my life) To the left, to the right (Spending my life) To the left (Kwani mapenzi matamu)