Switch S2Keez, baby I saw you liked her picture What about me? Unamfuata mpaka Twitter Now we know what it's gon' be I saw you liked her picture, yeah What about me, yeah, yeah Kama hakuna cha kuficha Why don't you get off her Insta? Unanikera kera kera kera yeah Unavyopenya penya kwa peji zake Unanikera kera kera kera ye-e-eah Unavyopenya penya kwa peji zake Heey yeah Macho yanatamani (unfollow) Moyo unatamani (unfollow) Anajua mi napata nini Ndio maana anapost picha zake za ndani First of all I'm the baddest kwenye peji yake Don't know what the hell you're looking for Au labda shapu yake lipsy macho yake Pengine umedata na dimples Hata level zangu huwezi kucompea Na level za kwake ni simpo Baby please won't you hear me If you know that you need me Unanikera kera kera kera yeah Unavyopenya penya kwa peji zake Unanikera kera kera kera ye-e-eah Unavyopenya penya kwa peji zake Heey yeah Macho yanatamani (unfollow) Moyo unatamani (unfollow) Anajua mi napata nini Ndio maana anapost picha zake za ndani Kama mi nakufaa naomba usimfuate Taratibu atakukaa imani ikutoke Kama mi nakufaa naomba usimfuate Taratibu atakukaa imani itoke Macho yanatamani (unfollow) Moyo unatamani (unfollow) Anajua mi napata nini Ndio maana anapost picha zake za ndani Unfollow Unfollow Unfollow Unfollow