Ayoo ayoo ayoo ayoo Karibu mgeni, Kwaheri mwenyeji Tulipanga mengi sana aah Tulikula dagaa Tulipika kwa mkaa Na maisha yalisonga Niliweka visenti kwenye vibubu Ukunipa vurugu Nilitumia vibatari sikutumiaga luku Asante sana rafiki, Mungu akubariki Kwa kunilinda na dhiki Haa So wave and clap and dance together So wave and clap and dance together Tulikula maindi, leo nipe chips Sitaki kikubwa kidogo nifaidi (Yelele yelele yelele yelele) Ulinipa dhiki, ukinifariji Mwakani utanipa kikubwa zaidi ya hiki Hanhaa dunia tambara Nimebeba mazuri na Machafu mengi Hanhaa hukuona hasara Kuchukua wazuri wangu wengii hii So wave and clap and dance together So wave and clap and dance together Ulinifundisha mazuri, nisiwe jeuri nipambane Ulinipaga na mwamvuli Kwenye mvua nyingi, nisiloane Mwamvuli eeh So wave and clap and dance together So wave and clap and dance together Ayoo ayoo ayoo ayoo Ayoo ayoo ayoo ayoo