Mwokozi wangu, nakuitaji zaidi Na mwoyo wangu, unaliya uwepo wako Nimejalibu on my own, lakini siwezi Nakutegemeya usiniache kamwe Nikiwa bado napumua, jina lako ndilo nitajivunia Tena sitaki kitu ca kunikataza, kuwa chombo chako Najua kwamba mimi ni wako, unanipenda tena sana Nuru yako imenitowa gizani sitaogopa kamwe Nitawale sasa na hata milele bwana Overpower all of me, the way you truly Desire Natamani kuongozwa na mkono wako Wenye nguvu the fresh air into my heart Amen, amen -amen Yebo- yebo jesu, yebo, yebo jesu Yebo -yebo ngidinga wena E'mungu nitumikishe, katika fahida za mbingu Nisimamiye vizuli, ufalme wako Ndani ya ulimwengu Najaze nguvu nipambane, uzaifu wangu uondowe Nidhalawu mishale ya machungu hadui anaonipiga Hawa wanataja magari, wengine wanataja mafarasi Bali sisi tunalitaja hilo jina la bwana x 3 Nitawale sasa na hata milele bwana Overpower all of me, the way you truly Desire Natamani kuongozwa na mkono wako Wenye nguvu the fresh air into my heart Amen, amen -amen Yebo- yebo jesu, yebo, yebo jesu Yebo -yebo ngidinga wena Najua kwamba mimi ni wako, unanipenda tena sana Nuru yako imenitowa gizani sitaogopa kamwe Hayayaya, sitaogopa kamwe/ bonde mauti Sitaogopa kamwe/ sitaogopa sitaogopa kamwe Kwenye shimo la simba, sitaogopa kamwe Katika giza tupu/sitaogopa kamwe