Ooh baby mmh Mzito kama bombadia Nami nakumiss ooh Hata ukija nitakukumbatia Ukiwa mbali ka ki dondo ndo Mi namiss muhugo huo Kachumbari nayo ndimu kidogo Tamu mpaka kwa kisogo, ayee Mi najing'ata baby ooh Utamu umezidi baby ooh Utaniua mwenzio Mi nishakupenda daddy oo I say mi najing'ata baby ooh Utamu umezidi baby ooh Utaniua mwenzio Mi nishakupenda hunny oo Aah ukinishikaga I like it, I like it, I like it Hii ukikataga I like it, I like it, I like it Nakupendaga Mmmh mi napenda venye unanishika Mbio mbio huku mikito inakita Unanishika penyewe mi nafika Vanga vanga jasho mi najaza ndoo Mapigo fulani hivi ya kikomando Sikuachi leo kesho wala mtondogoo Nitakufa na wewe Hata wakija beiby wakihonga doo Sitakubali jua nitasema no Nitakupenda mpaka utauma poo Nitabaki na wewe Mi najing'ata baby ooh Utamu umezidi baby ooh Utaniua mwenzio Mi nishakupenda daddy oo I say mi najing'ata baby ooh Utamu umezidi baby ooh Utaniua mwenzio Mi nishakupenda hunny oo Aah ukinishikaga I like it, I like it, I like it Hii ukikataga I like it, I like it, I like it Nimekubali hunny, I like it Na kiuno ukikataga I like it, I like it, I like Aah ukinishikaga I like it, I like it, I like it Hii ukikataga