Ninavyo kuangalia wapendeza Waufanya moyo wangu udunde Sijawahi kuyahisi haya yote Umenipa mapenzi tele tele Tumehusiana kwa muda mfupi Sikudhani nitakutana na we Kila siku pambazuko la mapenzi Wewe malkia mimi mfalme Ni wewe, kipenzi cha maisha Kilelele cha raha sitafika Si ndwele yale yaliyopita Nataka tuwe pamoja milele Kwa loli mlungu wanirasimia Wanineka mndu mcha unikunde Ngelo ihi namfunyira chawucha Kwa gose aga wanibonyera Ni wewe, kipenzi cha maisha Kilelele cha raha sitafika Si ndwele yale yaliyopita Nataka tuwe pamoja milele Dikaie kwa lukundo kwa kala Matuku ge lola gaida Ni wewe, kipenzi cha maisha Kilelele cha raha sitafika Si ndwele yale yaliyopita Nataka tuwe pamoja milele