Uhuhu willy willy willy msafi Noma moto ngoma noma yani kali Msela kali ngoma noma mhh (Teddy B) Aa nana nanananana nananaaii nanananai (Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali) (Vigele) (Vigele) Nakuonya we nyambura usijaribu nikaribia Ata na wewe anyango Nimeshaonyeshwa nia yako (Wataka kuniweka chini Futi kumi na mbili Nimekosa nini2) Mapenzi yangu ni ya mwenyezi Noma ngoma noma Yani kali msela kali Ngoma noma noma sana (lego) Aa nanananai nananai Nanananai nanananai (Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali) (Vigelege) (Vigelege) Mi awilly a awilly Nimekosa nini a awilly Simuniwachane a awilly Nimusifu Mungu a awilly Ye ndiye baba a awilly (Ziing) mwanisema mimi i Nimekosa nini i Mwataka kuniweka chini i Futi kumi na mbili i Nimekosa nini i Mapenzi yangu ni ya mwenyezi Noma ngoma noma yani kali Msela kali ngoma noma noma sana leego Nana nananai nananai Nanananai nananai (Wacha nisifu baba Nimwabudu nani jalali) (Vigelege) (Vigelege) Mhhhh kwa masela wote wanapendamola Nipe mikono juu tumsifu mola Tusifu sana mhh Noma ngoma noma Yaani moto ya zambe Noma ngoma noma Yani noma noma sana msela kali ngoma kali aha oho aha, aha