Yammi yammi Ooh love you babe Nioneshe mahaba unlimitedi Mwili na roho vyako babe Japo usawa unakaba, I am ready Penzi tumelizindua kwa Yasin tatu Tumejikinga na dua zidi ya macho ya watu Yeye namuaminia na simuachi katu Bure mnajisumbua, zenu papatupapatu Ahhh nipepee mwilini, joto litoke buu Niteke kwa maraha kama yotee tuu Nipepee mwilini, joto litoke buu Niteke kwa maraha kama yotee tuu Babe this is too much oo (doze doze) Taratibu mwaya, utaniua mwenzako (doze doze) Ahh babe this is too much oo (doze doze) Moyo wangu mimi, ushakua mali yako (doze doze) Daddy wewe ndo unanipatia Daddy umefaulu mia ya mia Ahadii naahidi kukutumikia Ahh daddy, kuupenda kwangu ni sharia Aah naapa kwa mbalamwezi na nyota za usiku Atubariki mwenyezi, penzi liwe nadhifu Penzi tumelizindua kwa Yasin tatu Tumejikinga na dua zidi ya macho ya watu Yeye namuaminia na simuachi katu Bure mnajisumbua, zenu papatupapatu Ahh nipepee mwilini, joto litoke bu Niteke kwa maraha kama yotee tu Nipepee mwilini, joto litoke bu Niteke kwa maraha kama yotee tu Babe this is too much oo (doze doze) Taratibu mwaya, utaniua mwenzako (doze doze) Ahh babe this is too much oo (doze doze) Moyo wangu mimi, ushakua mali yako (doze doze)