(Aa-ah, ah-ah) Yammi, Yammi (Oh, taabani) (Mafeeling make it) (Ah-ah) Ah, ka' kasoma VETA, ye' ni fundi wa mambo Atwanga pepeta kwa vya juu viwango Oh, raha naseleleka (selele) mahaba hayaishi bando Chumba ni hekaheka vita ya unyago na jando Oh-oh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani Raha zimenipumbaza mie hoi taabani Magharibi natafuta sababu Bibi namtafuta babu Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu Nitadumu nae kwa nguvu za manani Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani Nitadumu nae kwa nguvu za manani Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani (Oh-oh), oh-oh (la-la-la), la-la-la (ah-ah), ah-ah So dawa za China si mizizi ya Congo (ya Congo) Nampa mchai chai na supu ya kamongo (kamongo) Oh, full stamina anibeba kwa mugongo (mugongo) Mambo ya kwenye mtima sio kupendana kwa hongo (kwa hongo) Oh-oh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani Raha zimenipumbaza mie hoi taabani Magharibi natafuta sababu Bibi namtafuta babu Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu Nitadumu nae kwa nguvu za manani (nguvu za manani, nguvu) Jaribuni baadae (oh-oh), kwa sasa hapatikani (nimemuweka ndani) Poleni miungu watu mahodari wa kutabiri (nitadumu nae kwa nguvu za manani) Hatuachani katu roho zimeungana na miili (jaribuni baadae kwa sasa hapatikani) Anatembea na roho yangu, anatembea na mwili wangu Anatembea na pumzi zangu, mimi, mimi, mimi Kamix Lizer