Aah Mmh Aah Mmh Ramadhan Ramadhan Tufungeni Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tiba njema Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tufungeni Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tiba njema Ramadhani Ramadhani mwezi mema Nguzo ya nne ya dini Walifunga waja wema Walopita duniani Ramadhani mwezi mema Nguzo ya nne ya dini Walifunga waja wema Walopita duniani Eeeeeh Ramadhani Ramadhani ni faradhi Imefaradhishwa toka zamani Wafunge wenye kukidhi Vigezo vyote vya dini Ramadhani ni faradhi Imefaradhishwa toka zamani Wafunge wenye kukidhi Vigezo vyote vya dini Ramadhani ni faradhi Imefaradhishwa toka zamani Wafunge wenye kukidhi Vigezo vyote vya dini Ramadhan Ramadhan Tufungeni Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tiba njema Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tufungeni Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tiba njema Ramadhani Aah Mmh Aah Mmh Mayatima na wajane tuwakumbukeni Mikono tushikamane Tusaidieni Mayatima na wajane tuwakumbukeni Mikono tushikamane Tusaidieni Salamu za heri ulimwenguni nazitoa Tuamuabu Jalali ridhiki atatupatia Salamu za heri ulimwenguni nazitoa Tuamuabudu Jalali ridhiki atatupatia Ramadhani ni faradhi Imefaradhishwa toka zamani Wafunge wenye kukidhi Vigezo vyote vya dini Ramadhani ni faradhi Imefaradhishwa toka zamani Wafunge wenye kukidhi Vigezo vyote vya dini Ramadhan Ramadhan Tufungeni Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tiba njema Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tufungeni Ramadhani Ramadhan Ramadhan Tiba njema Ramadhani