Mhh mhh Ahh Mapenzi yamenibadilisha Siku hizi sinaga ubabe Nishakuwa gucha Niache moyoni niyabebe babe Mimi ni kuku wako Ukitaka mayai niyatage sema Na ukiona na ujinga We nisitiri usinibwage Sina matamanio nishavukaga uko Sinto ivua vazi la heshima Ulionivisha kwa upendo Sina matarajio Yakuondoka kwako Dunia imeshabadili wengi Wakawa vituko Mapenzi sio mchezo wa ngumi Nipige na khanga au ukuni Hata ukinifinya finya haiumi Naona raha Naisoma namba kwa kirumi Huu mchezo gani mbona wakihuni Hata ukinifinya finya haiumi Aah naona raha Unanijaza upendo mpaka unatiririka Tiriririi Unanitiririka Tiriririi Tiriririi Tiriririi Upendo unanitiririka mie Tiriririi Tiriririi Ahaa ahaa Tiriririka kama si diaba Najaza ndoo Raha nazompa Eti kama marhaba Nikimpa shikamoo Haniachi njiani nafika Mi kwake Yes sisemi No Siwezagi kususa Nisipomuona wafukuta moyo Asante angalau Umenionesha maana ya upendo Na sio kwa nahau (kwa nahau) Umenionesha kwa vitendo Sitokaaga nisahau Nilinyanyasika hapo mwanzo Niliyaoga madharau Kwa kumpenda asiojali upendo Mapenzi sio mchezo wa ngumi Nipige na khanga au ukuni Hata ukinifinya finya haiumi Naona raha Naisoma namba kwa kirumi Huu mchezo gani mbona wakihuni Hata ukinifinya finya haiumi Aah naona raha Unanijaza upendo mpaka unatiririka Tiriririi Unanitiririka Tiriririi Tiriririi Tiriririi Upendo unanitiririka mie Tiriririi Tiriririi