Acha nikubembeleze kwa ushahiri na utenzi Ahsante Mwalimu, Mwalimu wa mapenzi Sogea niku non'goneze neno zuri la mapenzi Kukuacha ni sumu labda apange Mwenyezi Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa Mimi oo oo Baby oo oo Tume pendezaa tuna pendezana Aah! Tume pendezana Tuna pendezaa tume pendezanaa Aah! Tume pendezana Hata kama wakisema una machafu mengi Siyaoni nimekwama shimo la mapenzi Mi kwako nisha tulizana ku n'goka siwezi Mimi oo oo Oo oo Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa Mimi oo oo Baby oo oo Tume pendezaa tuna pendezana Aah! Tume pendezana Tuna pendezaa tume pendezanaa Aah! Tume pendezana