(Mr LG) I am feel happy Pale tu mi ninapokuwa na wewe Sitaki hii safari niondoke mwenyewe We ndo ntakuuliza when I see, no way Even in the dark Torch utamulika maradi nisipoteee Kama mbalamwezi ikiangaza daily Acha mimi na we tupendane baby Acha niwambie his story Toka day one nilivyo falling Siku haiwezi bila calling Usiku mzima si twapiga sorry Nikaanza feel real love Nafsi zikakutana Bila hata kula Sisi tukashibana Na penzi letu lina vuma vuu Kama upepo, kama upepo Kama upe mmh, kama upepo Kama upepo, aah aah What, what, what this love I, I found this guy The one kiss me better than anyone Sa sah why nimkinai Sioni nachonyimwaaa Hata mseme nini si hatuachani Acha niwambie his story Toka day one nilivyo falling Siku haiwezi bila calling Usiku mzima si twapiga sorry Nikaanza feel real love Nafsi zikakutana bila hata kula Sisi tukashibana Na penzi letu lina vuma vuu Kama upepo, kama upepo Kama upe mmh, kama upepo Kama upepo Na penzi letu lina vuma vuu Kama upepo, kama upepo Kama upe mmh, kama upepo Kama upepo, lina vuma vuu Kama upepo Kama upepo ooh ooh Haa aah aah Linavuma kama upepo