It's another one Young Daresalama Kuliko unipende, alafu kesho ukanichukia Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia Najua mengi umeshasikia na uwongo pia Ila sijali sasa hivi nachotaka ni kuskia Ukisema hee he Sema sema hee he Sema hee sema hee Let's go, twende, twende Sema sema sema Hee, hee, hee, hee Siku nzuri asubuhi kumekucha Ndo nakumbuka kwamba leo na-, kitanuka Beiby nae kachacharuka Kakuta text za madem wanataka kuinuka Home kikanuka suu, nisisindwe ku solvu Nikakumbuka tu kusema am sorry Nikamvuta njoo, hapo nabukta soo Kutoka nnje ka nimeshikwa ukooni Hee he Noma kweli hee he Let's go, twende Hee, hee, hee, hee Hee, hee, hee, hee Tumekaa siku ya pili baada ya moja mbili Nikaona dalili tutaanza kimwili Sikusubiri nikaona bora kujitenga Uoga nao akili nikaona bora kujitenga Mara hiki, mara kile, mara kiki, mara zile Za kufanya mimi nisile Niko hivi kisa ni wewee Aah, sio kifo mpaka milele Niko na wewe sio kifo mpaka milele Kuliko unipende, after show ukanichukia Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia Najua mengi umesikia na uwongo pia Ila sai nachotaka ni kuskia ukisema Ukisema hee he Sema sema hee he Sema hee sema hee Let's go twende, twende Sema sema sema Hee, hee, hee, hee Eeehh, sema sema Noma kweli Eeehh, sema, eeh Let's go to the, twende Hee hee, hee, hee Tony Drizzy Touchsound