Mama hoi tabani yani hajiwezi Kwenda shule sitamani nguo kama chizi Mazao hakuna shambani masika kiangazi aah aahh Ona tunaishi nakula kwa mgomo (ni bara) Japo wananipa moyo nisijali, huumm Tuna madeni afadhali ya jana (ya jana aah) Shamba linatafutiwa madalali (yele yele) Aah aah, sio poa Aah aah, sio poa Aah aah, sio poa Aah aah, sio poa Tushakesha si na Godi Kwa visomo na nyingi dua Habari ngi zangelazi Nasi tupate kupumua Ye Baba bize na konyagi Kila siku analewa Hapataki ata nyumbani Ameitenga familia aah Namuoanea huruma mama aaah Japo sina lakufanya Namuonea huruma mama Ila sina lakufanya Aah aah, sio poa Aah aah, sio poa Aah aah, sio poa Aah aah, sio poa Sio poa, sio poa Namuonea huruma mama Sio poa!