Kwa kweli nilikuwa napenda sana Mechi za nje za ujana Aliyekuwa mke wangu Analia aah Kwa kweli nilikuwa napenda sana vibinti Nakuwahonga mpaka magari Waliyekuwa watoto wangu Wanateseka na njaa Mitungi kila saa Nyumbani sina time ya kukaa Marafiki nami Night club na mimi Sasa nimebaki lonely Track redioni hazichezwi Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna Hata bebi hunitaki tena Sasa nimebaki lonely Track redioni hazichezwi Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna Hata bebi hunitaki tena Nakupenda aiyaa Nakupenda sana bebi Nakuhitaji mama mama Njoo kisiwa cha malavidavi Nilikutenda aiyaa Nisamehe my baby Nakuhitaji mama mama Njoo kisiwa cha malavidavi Sielewi tena nisikize ma Kwani najua pombe ndiyo chanzo ah Kilichofanya nikutende dharau kibao Ndani ya nyumba hakuna raha Na kwangu ulikuwa dhaifu nisikize ma Kwani najua kweli ulinipenda ah Watoto wangu niliwatenga Nisamehe mpenzi we unasema Sitaki rudia tena Najuta kwa yote niliyofanya Nisamehe na goti napiga, nalia ahh Sasa nimebaki lonely Track redioni hazichezwi Yaani pesa hakuna marafiki hakuna Hata bebi hunitaki tena Sasa nimebaki lonely Track redioni hazichezwi Yaani pesa hakuna marafiki hakuna Hata bebi hunitaki tena Nakupenda aiyaa Nakupenda sana bebi Nakuhitaji mama mama Njoo kisiwa cha malavidavi Nilikutenda aiyaa Nisamehe my baby Nakuhitaji mama mama Njoo kisiwa cha malavidavi Uje kwenye kisiwa cha malavidavi Uje tupeane mapenzi Usisahau na wanangu Sahau yaliyopita na tugange yajayo