Mmh mmh mh ooyehh mmh

Huwa kweli nashangaa
Wale ambao wanapendaa
Bila kukosana na kuwachana wafanyaje
Jua lang'aa
Na siku zaendaa
Bado sijapenda na kupendeka nifanyaje
Nikipenda natendwa, nikikosa natengwaa
Nilizunguka kushoto, kulia ooh nikachoka
Nikipata napendwa, nikileta napendwa
Kuotanga mandoto, asante nikajifunzaa

Maombi kaomba, omba!
Niwezeshwe kupenda, aih!
Mengi yanasemwa, kwa rafiki tena jiranii
Kulala kalala, lala!
Niyasahau kupenda, aiih!
Mengi nayaona, hadharani toka zamanii

Niwache
Niwache mimi
Niwache
Nikakondaaa
Niwache
Mapenzii
Niwache

Na mengine sisemi
Ni mengi tu nimeyaona
Kununua mapenzi
Haitoki tena kwa moyo
Na mengi kaambiwa, ukiwa naye ni wakoo
Maana akiondoka-anaranda kwingi hachoki
Kama mtoto sijajua!
Mapenzi sijaelewa!
Kule napotoka, hakuna tena kupendaa
Kama baba angekuepo
Kunifunza kupenda!
Wale ninaopenda
Hakuna tena mapenzi

Maombi kaomba, omba!
Niwezeshwe kupenda, aiiih!
Mengi yanasemwa, kwa rafiki tena jiranii
Kulala kalala, lala!
Niyasahau kupenda, aiih!
Mengi nayaona, hadharani toka zamanii

Niwache
Niwache mimi
Niwache
Nikakondaaa
Niwache
Mapenzii
Niwache
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK