Queen of queens Mmh queen of queens Siendi kwengine tena, nishajua kwako ndo nifie Mbona nijigambe kutwa, sababu nina wee ndo unifae Hata waniroge, niko kwako ooh, wanipige mawe Wataka nitoke, waje kwako ooh, wakacheze nawe Ubaya niliyaona tena nije kwako nije tena kuyaonaa Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa Acha waseme, waseme ah siwachani nawe Tena wagome, wagome ah mwisho wangu wewe Queen of queens Queen of queens You are mine you are mine Queen of queens You are, you are Queen of queens Baby you fire Ndoa muda bado, najua naimani, kokote tutafika mbali Ooh pesa bado, najua naimani, chochote, tutapata honey Aah nishazama, nikapenda-kwako nishazama kwako wewe Kwa mama, nimependa, walai nishazama kwako wewe Ubaya niliyaona tena nije kwako nije tena kuyaonaa Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa Acha waseme, waseme ah siwachani nawe Tena wagome, wagome ah mwisho wangu wewe Queen of queens Queen of queens You are mine you are mine Queen of queens You are, you are Queen of queens Baby you fire Onana nah nah, naah nah Ubaya niliyaona tena nije kwako nije tena kuyaonaa Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa Queen of queens Queen of queens You are mine you are mine Queen of queens You are, you are Queen of queens Baby you fire