Shukurani zangu zote, zirudi kwa Maulana Aliye nijalia na vyote, aah Kwanza we ndo pasha wangu Ulo baki na roho yangu Nitoe chungu chungu, aai moyoni mwangu Uwe changamoto kwangu kwa mama wanangu We ndo nyota yangu kaa na uzima wangu Ruhusa chukua kwangu Ucheze na roho yangu Ucheze na mwili wangu Kwa sababu wewe ni wangu Ooh chukua kwangu Ucheze na roho yangu Ucheze na mwili wangu Sababu wewe ni wangu Ooh ni wewe basi, aah ni wewe basi Aah ni wewe basi na mwengine pasi Eeeii ni wewe basi, aah ni wewe basi Ooh ni wewe basi kwa mwengine pasi Kwa mapenzi basi, mwenzenyu basi Nimependwa basi, walahi basi Ooh mapenzi basi, mwenzenyu basi Nimependwa basi, walahi basi Usinipende leo mara kesho kaenda Mapenzi chungu baba walahi nitalia Ooh usinipende leo kesho kaenda baba Mapenzi chungu baba walahi nitalia Ooh nitalia na nani? Ukienda nitalia na nani? Nitabaki na nani? Ukienda nitabaki na nani? Mapenzi ongeza (kidogo) Wivu zidisha (kidogo) Hasira punguza kidogo I love you, baba Mapenzi ongeza kidogo Zidisha kidogo Punguza kidogo I love you, mama Ooh ni wewe basi, aah ni wewe basi Aah ni wewe basi na mwengine pasi Eeeii ni wewe basi, aah ni wewe basi Ooh ni wewe basi kwa mwengine pasi Mama Akothe Ooh shengerera mama Producer Image, Jose K Ooh mama Akothe Ai shengerera mama Producer Image, Jose K Oh jungle ni rekodi, o rekodi Oh jungle ni rekodi, ni rekodi