Yezzeman Zombie (S2kizzy) Umetoka kwenu bush, nakuona Sa hivi unajiona Una force kujipost, post na' Hakuna kitu naona (yeah) Wewe sio wa kwanza kukupenda Naweza kukuacha na ukaenda Ukitaka ushindani, uta-surrender (surrender) Uta-surrender Haya, haya, ’tia maji Haya, haya, 'tia maji Kununua zako huwezagi Basi bora unywe maji Huna jipya Tena umepauka Unapenda attention Attention Una sifa, ona limekushuka Sikupi attention (Mm-mm) Attention (Wee!) Mungu naomba unisamehe kwa hili kosa (hili kosa) Huyu mbwa nimemvumilia, nishachoka (nishachoka) Nilikaa kimya bubu, ukaleta uduanzi Sasa leo nakujibu upate vi-followers Kwanza, kisu chako butu Hakinoi, hakikati, yaani- Um, tum, tum, tum Tum, tuku, tum, tuku, tutu Unajitia mchati huna kitu, tu, tu Unacho niudhi huna kumbukumbu Ulikuja juzi umekonda kama mbu Nikakupa ujuzi kukutoa ukungu Usilete makuzi, kaoshe map- Huna jipya Tena umepauka Unapenda attеntion (Kwenda!) Attention (Hovyo) Una sifa, ona limekushuka Sikupi attеntion (Hilo!) Attention (Hilo!) Eti nyoko, nyoko Nyoko, nyoko Haya, haya, 'tia maji Haya, haya, ’tia maji Kununua vyako huwezagi Basi bora unywe maji Huna jipya Tena umepauka Unapenda attention Attention Una sifa, ona limekushuka Sikupi attention Attention