Gogu Maga Ni zuchu chu chu chu Waiteni wambea Wa kusini na mashariki Waje kuona Bado niko nawee Waliongea Eti mbali si hatufiki Ikiwachoma Wakamaze mawe Kwako chongo (chongo) Mi naonna kengeza Yaani uhondo Unavyonikoleza Wanatapika nyongo Penzi hawa jaliweza Nakusifu kibongo Nakusifu kingereza Muchuchu muchuchu Sweet sweet banana Punga mkono juu Nakuomba baby simama Leo yako sikukuuu Nikupakuie minyama Upite na huku Wasokupenda uwakere sana Uniijie kwa mbwembwe Unainama (waonyeshe) Unainuka (mama) Unaigusa, afu kama unashuka Niongezee na njonjo Unaninama (ah madegezyee) Unainuka (ai we we we) Unaigusa (agha), afu kama unashuka [Diamond Platnumz] Oh, baby a e i, malizia u Eh mwenzio kwa we mi, boya tu I know you love me, I love you too Nsipo kuona ta te ti, presha juu Nimegundua, kwanini wananuna Ma ex zako, nakunichukia Maana unajua, wapi pa kukuna Kwa kazi yako, unaipatia Muchuchu muchuchu Sweet sweet banana Punga mkono juu Nakuomba baby simama Leo yako sikukuuu Nikupakulie minyama Ebu njoo kwa huku Ringa jishaue bana Tena ntilie mimbwembwe Unainama (eh nikomeshe) Unainuka (mama) Unaigusa, afu kama unashuka Niongezee na njonjo Unaninama (ah madegezyee) Unainuka (ai we we we) Unaigusa (agha), afu kama unashuka