Paukwa pakawa leo nna hadithi
Nataka kusimulia nataka kusimulia
Ilikuwa sawa kumbe kuzaliwa binti
Leo mi najivunia, leo mi najivunia

Alianza umakamu
Ni kubwa yake nidhamu
Katiba ikamlazimu
Kuingia madarakani

Jina lake (Amba)
Samia Hassan Suluhu (Amba)
Ndo Rais wangu (Amba)
Ndo Rais wa Tanzania

Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Kazi iendelee

Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Kazi iendelee eh, eh, eh

Ee Mola!
Wakimtoa imani mpe nguvu na ujasiri
Mkumbushe yeye nani
Yeye ni mama kamili

Harambee Harambee
Mama tumpambe
Anaweza mama
Anaweza sana

Jina lake (Amba)
Samia Hassan Suluhu (Amba)
Ndo Rais wangu (Amba)
Ndo Rais wa Tanzania

Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Kazi iendelee

Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Aiyolela (Amba)
Kazi iendelee
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK