Eeeeh kaja omba nirudia
Kazirejesha salam
Zamani kakumbukiaa
Ameumisi utamu

Kaacha kopa kalamba garasa
Kaishiwa masikini
Mpeni taarifa za beti mkwasa
Mi simkumbuki sini

Hee mwambieni mwanbieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa)
He he mwambieni mwambieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa)

Wee! Kabaki mbe
(Mbe arijojo mbembe)
Hatarii
(Mbe arijojo mbembe)
Kaambulia patupuu
(Mbe arijojo mbembe)
Yuko chali chaliii
(Mbe arijojo mbe)

Mbe mbe mbe

Alidhani ameniadhiri
Alidhani amenikomoa
Mungu akanipa msitirii
Alonipoza nikapoa ah

Penzi kalijaza ndindindi
Kanimwagia mwemwere mwemwere
Pole ya kwako kidingi
Wa kudandia Ngendere ngedere

Simu za usiku wa saa sita, aka staki
Kuni dm insta, aka staki
Kutwa kujicomentisha, aka staki
Kujitumisha vipicha, aka staki

Hee mwambieni mwanbieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa)
He he mwambieni mwambieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa)

Wee! Kabaki mbe
(Mbe arijojo mbembe)
Hatarii
(Mbe arijojo mbembe)
Kaambulia patupuu
(Mbe arijojo mbembe)
Yuko chali chaliii
(Mbe arijojo mbe)

Hee kabaki mbeee
(Mbe arijojo mbe mbe)
Si wa mbele wala nyuma
(Mbe arijojo mbembe)
Si wa kuvutwa sukuma
(Mbe arijojo mbembe)
Inakuuma eeeh
(Mbe arijojo mbembe)

Twende kirinkikiti kirinkikiti kikiti kikiti
Kirinkikiti kirinkikiti kirinkikiti kikiti kikiti

Twende bah
Skoroba bah yani bah yani bah
Skoroba bah yani bah awee
Hahaaaa
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK