Ooh nkupe taarifa mwenzangu uuh uuh Yamenifika kwa koo We mwanamke mwenzangu uuh uuh Sema ooh oh oh nkupe taarifa mwenzangu uuh uuh Yamenifika kwa koo We mwanamke mwenzangu uuh uuh Bwanako analalamika kila akija nyumbani Eti hujui kupika kula kwako hatamani Kwangu kalipenda tembele toto lainy lainy Shoga umenyimwa upole tajiri wa kisiranii Na samahanii samahani Mwanzoni sikujitambulisha mimi nanii Mie ndo mke mwenzio AKA nyumba ndogo Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo Aah sina ubayaa sina ubaya nawee Aah ukinichukiaa wanionea buree Ahh sina ubaya sina ubaya nawee Mke mwenza ukichukiaa wanionea buree Oo sina ubayaa sina ubaya nawee Ukinichukiaa wanionea buree Nasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Mke mwenza unanifaa mie nikiwa mwezini Kwangu haiwezekani kwako bwana anakaa Mambo kusaidiana wala usihuzunike Sikuhizi kusharе mabwana ndo fasheni kwa wanawake Eeh jitahidi chunga sana mwеnzangu usiachike Aah sina ubayaa sina ubaya nawee Aah ukinichukiaaa wanionea buree Ahh sina ubaya sina ubaya nawee Mke mwenza ukichukiaa wanionea buree Oo sina ubayaa sina ubaya nawee Ukinichukiaa wanionea buree Twendee nache nache nache nache nache Huu mchezo wa kichina zungusha kiuno chako We kichina zungusha kiuno chako Kama shepu huna pambana na hali yako Kama huna pambana na hali yako nasema masha zungusha we zungusha Sasa wanjara zungusha we zungusha Khadija kopa zungusha we zungusha Mama dangote zungusha we zungusha mamaa Hahahaha We kama mzuka umepanda twende mpaka chini Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi Na kama mzuka umepanda twende mpaka chini Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi Twende changamkeni changamkeni changamkeni Apo kati changamkeni changamkeni changamkeni Na kulia changamkeni changamkeni changamkeni Kushoto changamkeni changamkeni changamkeni mama ha Twende nache nache nache nache nacheza aah Nasema aii mama aii mama Aii mama aii mama wee Andaa besee andaa besee Andaa besee andaa besee twende Mama andaa besee andaa besee Andaa bese andaa bese twende Utajijua mwenyewe utajijua mwenyewe Utajijua mwenyewe utajijua mwenyewe