Nani tron aaah tron (eyo tron)
Iih aah (iih iiih iih aah)
Iih aah (iih iiih iih aah)

(Et nani kakojoa shuka imetota aah imetota shuka imetota)
Leo nsingebaki ndani ata inyeshe mvua (inyeshe mvua)
Sina sent kumi yani ntadandia washua (aah washua)
Kwani DJ ni nani mbona anajua (anajuaa)

Kibeg nishikieni nataka kuuwa (basi uaa)
Eh shika shika shika shika
Eh shika shika shika shika
Mmh

Police kamata wizi wanawaibia watu
Police kamata wizi wanawaibia watu
Muongeze ulinzi tule bata mpaka jumatatu
Mtuache na walevi twalewa kwa hela zetu

Shika shika shika (twalewa kwa hela zetu)
Shika shika shika (twalewa kwa hela zetu)
Mmh

Ole le le olo lo lo
Ole ole ole olo lo lo
Ole le le olo lo lo
Ole ole ole olo lo lo aah
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK