Hey! Tiktiktik tii! Iyoo lizer! We mama njoo Njoo uone nchi ilivyobadilika Tanzania ya leo ooh! Imejengwa imejengeka Pita ubungo tazara Za juu barabara Tayari zinatumika Reli yenye viwango bora standard gage Karibu inakamilikaa! Tanzania ya sasa mama Aii mama! Ya magufuli mama Aii mama! Ina wakawaka mama Aii mama! Inapendeza sana Aii mama! Tanzania ya sasa maama! Aii mama! Ya ccm mama Aii mama! Ina wakawaka mama Aii mama! Inapendeza sana Nasema jua lile literemke mama Jua lilee literemke mama! Nasema wapinzanii watetereke sana eh! Wapinzanii watetereke sanaa! Jamani jua lilee literemke mama eeh! Jua lile literemke mama! Wabaki wapinzanii watetereke sana eh! Wapinzani watetereke sana! Eeh! Wazee watoto Wanawake hospitali buree Buree magufuli uyoo! Elimu ya msingi Pamoja na sekondari bure Bure magufuli huyo! Eeh! Ccm hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Magufuli hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wapinzani wamekaa (kaa!) Kaaa (kaa! Kaa!) Wamekaa (kaa!) Kaaa (kaa! Kaa!) Dokta shein hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Mama samia hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wapinzani wamekaa (kaa!) Kaa (kaa! Kaa!) Wamekaa (kaa!) Kaa (kaa! Kaa!) Majaliwa hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Na bashiru hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wapinzani wamekaa (kaa!) Kaa (kaa! Kaa!) Wamekaa (kaa!) Kaaa (kaa! Kaa!) Tanzania ya sasa mama Aii mama! (Eeh!) Ya magufuli mama (ieeh eh!) Aii mama! Ina wakawaka mama (tanzania hi!) Aii mama! (Ya leo!) Inapendeza sana (ya magufuli!) Aii mama! (Mama weeewe!) Tanzania ya sasa mama Aii mama! Ya ccm mama (he eeh!) Aii mama! Ina wakawaka mama (he eeh!) Aii mama! Inapendeza sana (inang'arang’ara inang'araa) Aii mama! Nasema jua lile literemke mama (tii! Tii! Ti!) Jua lilee literemke mama! Nasema wapinzaniii watetereke sana Wapinzanii watetereke sanaa Jamani jua lilee literemke mama eeh! Jua lile literemke mama! Wabaki wapinzanii watetereke sana eeeh! Wapinzani watetereke sana! Mzee mangula hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Polepole hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wabunge wote hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Kamati kuu hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wajumbe wa nec haii (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wenyeviti wa mitaa (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wenyeviti wa vitongoji (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Mabalozi haii (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Hee! Ccm hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wanachama hai (hai!) Hai hai (hai! Hai!) Wapinzani wamekaa (kaa!) Kaa (kaa! Kaa!) Wamekaa (kaa!) Kaa aah!