Lelelelele, lele lelelele Lelelelele (mocco) Umepata mabinti Lakini mimi napiga kama kush Nimeshika maball Si wa Kampala wote nikawacrash Jina langu ni Diana Nimekuana toka jana Sasa ka hatungekutana Kila kitu baby we are gonna do Upendo, upendo Upendo sio magic huu ni upendo Upendo, upendo Upendo sio magic huu ni upendo Mapenzi mapenzi Yamenizidi kwa kichwa mi mwenzenu siwezi Mapenzi mapenzi Yamenizidi kwa kichwa tena siwezi Akinipa karoti Naidandia naikula kavukavu Na misambasulti Uma nalia aichane mpaka nyavu To the left kulia, kulia Atakacho mie sawia, sawia Kama kasheti, vibagia, bagia Eeh chachanu hunimwagia ooh Baby Upendo, upendo (nimeupata) Upendo sio magic huu ni upendo Upendo, upendo Upendo sio magic huu ni upendo Amenitouch touch ooh Amenigusaa gusa Amenitouch touch ooh Amenigusaa gusa Amenitouch touch ooh Amenigusaa gusa Amenitouch touch ooh Amenigusaa gusa