Sisi ndo wale wale Mlio tukataa Mkasema hatufiki mbalee (Na simba lamaa) Sasa tumejipata Ni Zuchu chu chu chu chu Hehehee! (Ayo Trone) Ai wewee Troni Heee! Ayayayaya Ulivyonipiga juju Ulidhani nitagwaya Hukujua nina Mungu Ayayayaya Eti nile chukuchuku Mambo yangu yako sawa Nishashiba kukukuku Heee! Chote ni choyo na sijalii Ndio kina waumiza Na Mungu wangu (na Mungu wangu) Yu ngangari Cheza nami atawamaliza Karibu ntanunua gari nakuja kwenu Itaneni muambizane mje mjae (mama sumaaa) Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu Mi ndo yule mlikatazwa msicheze nae Sisi ndo nani Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale) Mlio tukataa (Mlio tukataa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si athumani) Sasa tumejipata (Aii aaah hee) Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa) Mlio tukataa (Mlio tukataa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si athumani) Sasa tumejipata Aritikitiki tikitiki Eeh rikiti tikiti Tikiti tikiti Tikiti tikiti Heee! Arerererere Are tokoto tokoto Tokoto tokoto Tokoto tokoto Heee! Oooh eti ntakufa (Kwani we utaishi milele) Nilipozitafuta (Mbona mliniacha mwenyewe) Hizo chuki na pupa ooh (Ndo zinofanya mchelewe) Oooh kwa kushinda kutwa (Roho mbaya na viherehere) Hee na mwaka huu mtaisaga rumba (eh kwanini) Maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba (ay!) Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba (eh waganga) Waganga wenu wambieni wakoleze ndumba Aeee oh! Oh binadamu ni waajabu sana (jaabu sana) Wana maneno ya kukatisha tamaa Binadamu ni waajabu sanaaa Wana matendo ya kuumiza sana Walisema eti nna nuksi ya senti (kapachuka) Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti Nani wa kunidate bega kama kenchi Kudadeki zenu asa mbona mnakechi Oooh sisi ndo walewale! Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale) Mlio tukataa (Mlio tukataa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si athumani) Sasa tumejipata (Aii aaah hee) Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa) Mlio tukataa (Mlio tukataa) Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si athumani, jamani) Sasa tumejipata Aritikitiki tikitiki Eeh rikiti tikiti Tikiti tikiti Tikiti tikiti Heee! Arerererere Are tokoto tokoto Tokoto tokoto Tokoto tokoto Heee!