Nimesaka form, nimesaka form, nimesaka form
Nimesaka form, nimekosa form, nimerudi home
Sa ju niko home, itabidi nimewasha ki
Niwashe ki-- alafu baadae nipitie machuom

Cheki
Nimesaka form, nimesaka form, nimesaka form
Nimesaka form, nimekosa form, nimerudi home
Sa ju niko home, itabidi nimewasha ki
Niwashe ki-- alafu baadae nipitie machuom

Cheki
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Ju mi huzisakaga na sipati hizo doh

Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Ju imefanya mamorio wengi wagoo doh

Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Ju mi huzisakaga na sipati hizo doh

Niko na chuki na doh, zilost nazipata kwa show
Bila show siwezi pata hizo doh
Kwani form hukuwa gani hizo doh zikilost

Hatukutani ka ni ghost, tupatane kwa beta
Nina was na kuzishika kuzitumia ni worse na
Nalipagwa once in a month,
Once in a month ndo unafaa ulipe keja
Once in a month ukiendea tenje ikue mteja
Na madeni kwa duka ni kuongezeka
Na hushibi kwa hoteli unadai nyongeza eeh

Ni kujibonga si mbaya, ni kukosa pesa
Hii ni life bila pesa ngori joo, itakupea presha
Saa zingine kuhustle ni fiti, itakutosheleza
Maintain hii ground to the fullest na, eeh life itasonga

Lakini kitu ni ati bado iko
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh

Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Ju mi huzisakaga na sipati hizo doh

Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Ju imefanya mamorio wengi wagoo doh

Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Niko na chuki na doh
Ju mi huzisakaga na sipati hizo doh

Yoh cheki
Eeh, acha tubonge basi ju ya stori na doh
Hii stori ngori joo
Tebu imagine na tumezunguka sana kwa hii life
Na we ndo starring joo

Ukikosa uchekwe, ukipata uweke
Utaitwa mbleina tu ki yoo
Wanachapa vitu na tu vile unafaa kufanya
Ju sa hizo umepata maana

Eeh hadi madem walikulenga
Juu sa hizo umezipata ni ka wote wanakufuata
Cheki, ni juu ya nini ka si ganji?
Sa zile uko chini jo hawakuhitaji

Ningekuwa pesa, ningekuwa natesa
Ningekuwa nateta na silali kwa MPESA
Kazi ni kuwareweza saa zingine kuwatekesa
Nakwara kulala bank, ndo nilale kwa baesa
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK