Yeah, yeah ni Zzero, K Wise Kuna vitu mi hupenda (penda) Si kila mahali mi huenda (enda) Kitu ikinibamba nimependa eeh Ni kujaribu tuone bado ka itaweza cheki Si nimekupendaga bana jo ukizitoka Vile huzitoka hunifanya bado nachoka Kwanza ukidondosa unafanya jasho inanitoka Naskia kuzitoka, bila hata kuniogopa Si ulinishow mi hautawai nitoka Ata nikianguka mi utakuwa ukiiniokota So whine that booty baby whine that booty Si unajua napenda yako tu sampuli Whine that booty baby whine that booty Si unajua napenda yako tu sampuli Twende! Dondosa ma (eeh) Dondosa! Dondosa ma (eeh) Dondosa! Dondosa ma (eeh) Dondosa! Whine that booty baby whine that booty Niko chizi kabisani niko fiti yoh Ni mistari kuziandika niko studio Za wengine zimeshika ziko fiti yoh Tujinyc iende sana hadi ngware yoh Na mamorio wako fiti sema uradi yoh Kuna tunguna tuko fiti tuko sawa yoh Na kuna jirani anadai mpango wa kando yoh Ati anadai nimdondoe kama mahindi yoh Nizishike nizichape mpaka zilale yoh Kawangare ndo mtaani sema ngori yoh Na sistako si ni mrembo sio sare yoh Ana mahaga ye hunibamba ye hunimada yoh Kutoka jana hadi leo mi humtaka yoh Taka yoh (taka yoh), Taka yoh (taka yoh) Taka taka taka taka taka taka yoh Yeah, yeah, ni Zzero eeh Dondosa ma (eeh) Dondosa! Dondosa ma (eeh) Dondosa! Dondosa ma (eeh) Dondosa! Whine that booty baby whine that booty Kuna vitu mi hupenda (penda) Si kila mahali mi huenda (enda) Kitu ikinibamba nimependa eeh Ni kujaribu tuone bado ka itaweza Kuna vitu mi hupenda (penda) Si kila mahali mi huenda (enda) Kitu ikinibamba nimependa eeh Ni kujaribu tuone bado ka itaweza Yeah, yeah Zzero, kama sos Mi ndio sos mi ndio Boss Mi ndio Worldboss, eeh si ati nini Dagoretti 4W Namba mbili tuko ndani K Wise