Yeah yeah ni Zzero Kama sos mi ni sos Mi ndio boss Mi ndio Worldboss (Idriss) Kama unapenda kujinyc usijifunge Put up your hands and sing it is okay Unajibamba na magaldem kwa parte So we haffi tell them say, it's okay Kama unapenda kujinyc usijifunge Put your hands up and sing it is okay Unajibamba na magaldem kwa parte So we haffi tell them say, it's okay Leo today Party we a party Like its holiday Already in a weekend Call your friends Call me friends and me friends Nikuikata kata naikata Nikichocha chocha zinishike Zinishike hadi zilipuke Ikate morio bana usishtuke Form ni liqour chunga kutapika Kunaeza badilika na zikikushika Wika na ukiulizwa unasema ni kubambika Na ukibambika tu unakaribia spika Si ni ka bash cheki vile wasee wamechrome Na wako na zote si kunanuka mandom Na dem akikubamba usiogope bado kumuita We mkute kimangoto ka umemshika We mkute na uhakikishe amekuskiza Mwambie ukweli hata kama hautamuingiza Mwoneshe skiza, iza Tunaeza enda bado nikubuyie pizza Si siri si unajua umenimaliza Tukiwa na wewe jo unaweza tuliza eeh Kama unapenda kujinyc usijifunge Put up your hands and sing it is okay Unajibamba na magaldem kwa parte So we haffi tell them say, it's okay Kama unapenda kujinyc usijifunge Put your hands up and sing it is okay Unajibamba na magaldem kwa parte So we haffi tell them say, it's okay Leo today Party we a party Like its holiday Already in a weekend Call your friends Call me friends and me friends Cheki, heri mdogo ukienda mbio utaharibu Hakuna kitu ngumu kujaribu Mi hukuwa rada ata ka uko mavitu La muhimu ni kugive thanks kila siku Si hizi ndo zile moja ya zile siku Masiku sikuwa najua itaja kuwa Kwanza nikikumbuka vile nilikuwa nikichomwa na jua Saa hizo nimeshinda njaa Zangu mzito nikimwomba anakataa Stima kwangu kukatwa ju budget ilikuwa ni ya taa Mboka zote kuruka kazi yeyote sikukataa Siku hizi moshi iko fiti na ninakaa vile inafaa Nishapunguza ufisi na nikaachanaga tamaa Siku hizi hadi nina ofisi na nikaandikaga Kamaa Na ju bado ako na moto itabidi amewauzia makaa Big up ka una kipaji na unajua unago far Kama unapenda kujinyc usijifunge Put up your hands and sing it is okay Unajibamba na magaldem kwa parte So we haffi tell them say, it's okay Kama unapenda kujinyc usijifunge Put your hands up and sing it is okay Unajibamba na magaldem kwa parte So we haffi tell them say, it's okay Leo today Party we a party Like its holiday Already in a weekend Call your friends Call me friends and me friends Ati hii ni ya mashada na kuroll ndio janta Nakuwaga na malori na mapick-up NACADA Nakuwaga na mabeat ndani ya verse sijai hata Dagoretti namba mbili si ndio utanipata Yoh ni kubaya