Yah yah ni Zzero Kama sos mi ndio Sos Mi ndio boss Mi ndio WorldBoss Jeshi ni mbaya na watu wako mabodoski Mbogi ni mbaya mbogi bado kimonyoski Tamasha leo ni ile hamjaionaga hauskii Ningekam jo yaani ukiona kina umathe Si ni juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Siko juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Ati form form ni kama movie ya DJ Afro Rrrr ni kwenye ima introduction Sijalala mchana nimeshinda nikiwa macho Magode mashada nimezishinda nikizimacho Kwani iko nini nikikula kile niko nacho Cheki vile nimenyanya hadi sai ziko kwa macho Niko jaba ndani ya Umoiner Jaba ndani ya Umoiner Mi hukataka tu ma muratina Chinjiaga dem ako na itina Naiita inaniskiza eeh Ikijipa bado nitaifinya Cheki kwanza iko Friday so kesho mi siendi job Naenda nikunia kila mahali hakuna mahali sikojoi Rada safi tukipatana form ni leo mi natoa Ka ni ka jaba juu ya chock leo lazima sinitatoa Siko juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Siko juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Always - nduru imepigwa ni ma wuwuwuuu Moshi unacheki ni avuvuvu Mangeus kwa tamasha ni wa nguvuvu Kata na mapanga kisha susususu Rada safisha chunga kuchachisha Wakisha itisha macho ivisha moshi pitisha Matisha bado lipisha nanga inamisha lalisha Denge imeweza mtaani fikisha Tarimbo rungu pigisha, mtaani ingisha Thigitha bado na giza, ka inatatiza ririma Gode ni mzima bado naichimba Ikizima naiundia gova Si ni juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Siko juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Cheki ati shada panda ganja farmer Kuyoyoma kusota kulala kudoz ka muoga Kudoz ka haujaoga Sasa ona blunder mistake ya kwanza Kumess kwa kitanda You mean kukojoa kitanda Hiyo ni blunder Chunga sana dear, kukunywa sana beer Una mess na mind pia ka ni no fine beer Kanono come here, ka ni bike ride dear Ka ni maji kata beer, ka ni strungi stong pia Na ukidai kuna kahawa Na ka haujashower we ni wa swara Si ni juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Siko juu ya magode chock Si ni juu ya magode chock Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz Niko juu ya magode chock Si mi huchoma gode chock Si niko juu ya magode magode na bado chock Yeah, yeah cheki ni, 2020 Kwenye ki 4:20 Nawasha moja mbili tatu Morio hadi 20 Ni, 2020 kwenye ki 4:20 Nawawashia leo mamorio Hadi nihakikishe wamebleki Dagoretti namba 2 4W tuko