Cheki, ati Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi Manzi manzi Alafu bahati nzuri uko na ganji Ganji ganji Badala ya stress mi huprefer nikate maji Maji maji Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji Aje Natamani nikupate, aki nikupate kwangu Kati nikate na kanipe saa ni sake Mkate tusikate, nipate Wacha wafuate hadi ifike ni karate Tupigane ndo wakuache Wasikuchoche ati ndio uniache Si tuende nikushow machoche, mamorio ukawagotee Naskia unapenda sauce, si twende nikubuyie zote Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi Manzi manzi Alafu bahati nzuri uko na ganji Ganji ganji Badala ya stress mi huprefer nikate maji Maji maji Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji Aje Eeh Ati nijipate niko ndani, keja ni ati kwa jirani Gethaa ilikuwa ni mamchana mamchana ikiingia gizani Najipata nikishtuka usingizi nililala nikidhani Eeh kucheki cheki kadem kapoa ka jirani Kamekam kamedunga mini na huku nimeziona ndani Sa hizo hata sina short na kanadai ati tut tut Ukweli naskia nimuulize kwani hizo vitu ni za nani? Eeh Kam nicheze na hizo ndenge za kwako Nikuonyeshe we ni mrembo kuliko hadi sistako Siku hizi, mi ni morio hadi wa mathako Buda yako nitamhepa aki ndamsho mi ni kigosho Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi Manzi manzi Alafu bahati nzuri uko na ganji Ganji ganji Badala ya stress mi huprefer nikate maji Maji maji Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji Aje Kam nicheze na hizo ndenge za kwako Nikuonyeshe we ni mrembo kuliko hadi sistako Siku hizi, mi ni morio hadi wa mathako Buda yako nitamhepa aki ndamsho mi ni kigosho Kam nicheze na hizo ndenge za kwako Nikuonyeshe we ni mrembo kuliko hadi sistako Siku hizi, mi ni morio hadi wa mathako Buda yako nitamhepa aki ndamsho mi ni kigosho Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi Manzi manzi Alafu bahati nzuri uko na ganji Ganji ganji Badala ya stress mi huprefer nikate maji Maji maji Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji Aje