Kama sos Mi ndio Boss Mi ndio worldboss Mariaa ah Ukiniwacha utaniumiza girl Mariaa ah Si nilikupenda vile mi hupenda ki sssh sssh Mariaa ah Nakupenda nakwambia girl Mariaa ah Ukiniwacha utaniumiza girl Kuna vile mi nahisi umenifanya mi nisinzie eeh Ni kama unanichoma mi nisipokuona roho oo Hadi nitakuja very quickly baby mi ukiniita we Kuna vile mi nahisi kwangu sio rahisi wee Kuna Maria anapenda pesa (pesa) Kuna Maria anapenda nature Na pia kuna Maria ukimpata Ukitaka utaitapa hatakuwacha ukiteseka Kila siku yako shamba utaifyeka Vizuri tena sana ataiweka Wangu Maria kumpata si rahisi Si kama wale hupatikana hivi hivi Maria mzuri ni yule unaweza mturn bibi Maria bado anaweza kufanya uchizi Ukamkosa kwa wiki amini usiamini Kumpata Maria yule wako si rahisi Maria nakueleza vile anahisi Maria tabia si ati kingi Chunga marafiki wengine wanafiki Tunza wako poa na nko sure mtakaa fiti Mariaa aah Ukiniwacha utaniumiza girl Mariaa aah Si nilikupenda vile mi hupenda ki sssh sssh Mariaa aah Nakupenda nakwambia girl Mariaa aah Ukiniwacha utaniumiza girl Kuna vile mi nahisi umenifanya mi nisinzie eeh Ni kama unanichoma mi nisipokuona roho oo Hadi nitakuja very quickly baby mi ukiniita we Kuna vile mi nahisi kwangu sio rahisi wee Am fine with the girl like you Girl niko fine tu na wewe Infact sikutake out tu Niko serious sa you will know that Zzero niko in love with you Eeh beiby scream my name Ju nataka twende far with you No lies no limits beiby Am fine with a girl like you Girl niko fine tu na wewe Infact sikutake out tu Niko serious sa you will know that Mariaa aah Ukiniwacha utaniumiza girl Mariaa aah Si nilikupenda vile mi hupenda ki sssh sssh Mariaa aah Nakupenda nakwambia girl Mariaa aah Ukiniwacha utaniumiza girl Kuna vile mi nahisi Umenifanya mi nisinzie eeh Ni kama unanichoma Mi nisipokuona roho oo Hadi nitakuja very quickly Baby mi ukiniita we Kuna vile mi nahisi Kwangu sio rahisi wee