Yeah, yeah cheki! Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha) Brand new style inaitwa matisha (matisha) Ka una kikolo, kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha) Eeeh hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha) Brand new style inaitwa matisha (matisha) Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha) Eeh, hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha) Brand new style inaitwa matisha (matisha) Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha) Eeeh, na wakikuuiliza ni nani alikuwa akiziwakisha (wakisha) Ibaki ni jirani huku kando alikuwa akiziwakisha (wakisha) Na si amezivuta sana leo ameziwakisha (wakisha) Jo ni kubaya morio, ngori ni kumatisha eeh Nikumati ni kumati ni kumatisha (matisha) Nikumatisha design bila kubahatisha (bahatisha) Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha Eeeh, ka umepiga look uko msafi, jo umetumatisha (matisha) Ka uko na kamutu, ni kazuri na kamematisha (matisha) Mambo ya kuhanya biriganya bado umematisha Eeeh, na kangoma kengine kanaitwa matisha (matisha) Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha) Brand new style inaitwa matisha (matisha) Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha) Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha) Brand new style inaitwa matisha (matisha) Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha) Cheki, si unaeza chizi ukikimbiza mbuzi ngozi inakaa doh Si ni kumatisha, wako lamba lolo isha tu go Hujaskia ma morio flani wakali wametoka Dago Si wamekam na ingine mbaya si unasikia vile inadunda bro Hiyo cheki, hii ni ile mbaya mlikuwa mkiongojea Niliiskia mkiongea ikabaki ni kuwaletea Hii ni, ile fiti iko na kikadi snare Hii ni beat nikiwa nayo hadi mambo nitawapea Hii ni, ile ya mafans wangu kuwagotea Kuwashow bado niko si ati mi nilipotea Hii ni, ile ya jeshi kumatisha Jeshi cheza chini na bado pia ujue kumatisha Jeshi ilegezagi mabata bado huziwakisha Kwanza ikuwe tamasha hapo ndio sasa Sisi huzimati (matisha) Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha) Brand new style inaitwa matisha (matisha) Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na diri- (dirisha) Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha) Brand new style inaitwa matisha (matisha) Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha) Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha) Yeah, yeah, ni Zzero Kama sos mi ndio Soss Mi ndio Boss Mi ndio World Boss Eeh, big up Megalinks Productions