Sijajipinge kuburn Sijajipinge kuburn Sijajipinge kuburn Magwaka zangu zimeland (yeah) Naskia kuimba zimenishika Naskia kuseti kiseti mina Naskia kuimba zimenishika Pedi wangu hayuko around Naskia kuseti kisesi mina Naskia kuimba zimenishika Naskia kuseti kisesi mina Pedi wangu hayuko around Kuna venye nilikuwa nikitaka Sijui ka unauzaga nyama ya bata Leta kwanza ka umekata kata Sijui ka nitabeba ama itanifuata Bahati nzuri nimeipata Pitia kwa duka uchukue Fanta Coke ama Sprite fasta fasta Ni mistari kuziandika na mafans kuwashika Hadi wanapandisika downtown hadi Thika Kutoka foreign Dagoretti washafika Ndani ya kambi flani ni mistari tunazipiga Ni venye zimeiva hadi wanadai kuonja Hawawezi ngoja ni venye mi huwanyc design Ya kajaba na tunjoti au gomba Na ikibamba sana DJ pull up ka ni noma, yah yah Sijajipinge kuburn Sijajipinge kuburn Sijajipinge kuburn Magwaka zangu zimeland (yeah) Naskia kuimba zimenishika Naskia kuseti kiseti mina Naskia kuimba zimenishika Pedi wangu hayuko around Naskia kuseti kisesi mina Naskia kuimba zimenishika Naskia kuseti kisesi mina Pedi wangu hayuko around Flight 4:20 haina hadi departure Walai mi naapa shasha mi sitawai kuacha Tangu nikujue mi ni kama pacha Mara nyingi mi hujipata nikikuwaza Nakutaja nakuroll nakuasha Mokoro alinipata na wewe si alinipasha Akanikataza same day akapata na-na-na zigi kwa kinyasa Heri unichizishe kuliko unidai na cancer Sa mbona nikufiche nikikukula ka nimenyamaza Sia ati sina senti, sina sensi za kuseti Sesi kuseti, na huyo pedi akikuja Ghai tutableki Ni Dagoretti na tuliwashow we gon' make it Sijajipinge kuburn Sijajipinge kuburn Sijajipinge kuburn Magwaka zangu zimeland (yeah) Naskia kuimba zimenishika Naskia kuseti kiseti mina Naskia kuimba zimenishika Pedi wangu hayuko around Naskia kuseti kisesi mina Naskia kuimba zimenishika Naskia kuseti kisesi mina Pedi wangu hayuko around