Zimenishika zimenishika, zimenishika yooh Niki (mff mmff), kimenishika yoh Eeeh, kiko kwa kichwa Kimejificha si ni kimbichwa yoh Si ni kienyewe Kiko kwa kichwa kimejificha yoh Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa Si ni kienyewe kiko kwa kichwa kimejificha Juu ni kimbichwa (sikia Zzero) Washa ki (mff mmff) ndio kiende chain Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain Nikitam niki (mff mmff), saa ya rain Niki ki (mff mmff) Eeh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Niki (mff mmff), kimenishika yoh Eeh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Niki (mff mmff), kimenishika yoh Eeh Kiko kwa kichwa kimejificha, si ni kimbichwa yoh Si ni kienyewe kiko kwa kwa kichwa, kimejificha yoh Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa Si ni kienyewe kiko kwa kichwa kimejificha Juu ni kimbichwa eeh Washa ki (mff mmff) ndio kiende chain Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain Nikitam niki (mff mmff), saa ya rain Niki ki (mff mmff) eeh hadi kwa vein Ati washa ki (mff mmff) ndio kiende chain Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain Nikitam niki (mff mmff), saa ya rain Niki ki (mff mmff) eeh hadi kwa vein Ju naifanya mara mingi nikohoe (mff mmff) Kwa kifua (mff mmff) Mi hukivuta (mff mmff) Na mamorio wangu wote si wanapenda kuzi (mff mmff) Kutoka ngware hadi usiku si hushindaga tuki (mff mmff) Tukilandi (mff mmff) Nishawasha kingine (mmff) Kwanza peddy si ako inadi Zinafaa tuziende (mmff) Zikikam (mff mmff) Tuzivute (mff mmff) Zote zote ka (mff mmff) Zote zote ka (mff mmff) Cheki Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Niki (mff mmff), kimenishika yoh Eeh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Niki (mff mmff), kimenishika yoh Si uki kohoa kohoa hiyo ni dalili ya kunyongwa Pitisha morio utaitisha ni kubwa sana Ivisha macho zikuwe red, macho nyanya na Usiseme ukweli ukiulizwa unasema hapana Ati niki (mff mmff) Umevuta na unasema hapana Maybe pengine, kwani morio mnajuana Si kuna watu huwaga jo mnaweza kosana Imekubalika we ki (mff mmff) bado mchana Ati ki kush kipass kwanza kitam kia ras Ka umezoea choma utaskia niko kwa France Unajua uko smart chini umedunga ma clarks Unaeza vaa pams, toka mbio ruka bumps Ati zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Niki (mff mmff), kimenishika yoh Eeh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh Niki (mff mmff), kimenishika yoh Yeah, yeah (yeah, yeah) Ni Zzero, kama sos me ndio soss, mi ndio world boss Eeeh cheki, Bigup MeGaLink productions Dagoretti, number 2 tuko ndani