Continues after the ad

    Hela hela, hela hela
    Hela unatutesa pia

    Tatizo lako aliekuumba
    Ni binadamu angekuumba mungu wewe
    Usingenipotea tena sana ningeomba
    Niweze kukoa uwe wangu moja kwa moja hela
    Nisha beba takataka
    Nipate kula nikikupata unatoroka
    Hela
    Mbona labda masikini
    Wakikupata wakisha kula
    Unatoroka hela

    Hela hela (hela)
    Hela hela, hela, hela hela
    Hela hela, hela, hela hela
    Hela unatutesa sana

    Continues after the ad

    Na wananchi wanalalamika
    Unapendelea wana siasa hela
    Wanayonywa haki zao
    Na wenye nguvu
    Aliyewapa jon kio hela
    Na machinga nao pia
    Wananyanyasika sababu yako wewe hela
    Kwa wagonjwa hospital
    Bila rushwa hawatibiwi vizuri
    Hela hela (hela)
    Hela hela hela hela (hela)
    Hela hela hela hela
    Hela unatutesa sana

    Hela hela, hela hela
    Hela hela, hela hela

    Wewe wako matajiri
    Ndo maswaiba zako
    (Hela unatutesa sana)
    Nenda ukae na mayatima
    Wapate faraja aaja aaja
    Kwani nani asiependa (kujinafasi)
    Nani asiependa (kujinafasi)
    Nani asiependa
    Kuwa na wewe hela

    Kuna wajane wasiojiweza
    Walemavu mpaka ali k
    Hela hela, hela hela
    Hela hela, hela hela
    Hela hela, hela hela
    Hela hela, hela hela
    Yeah

    Song details

    Composition:

    Did you see an error?

    Enviar revisão