Bado (feat. Denno)

Bahati

    Continúa después del anuncio

    Eeh niaje Deno
    Vipi Bahati tena?

    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

    Nikumbushe bado, niambie bado
    Nikumbushe bado, mwanao bado

    Nimesoma degree na kazi bado (bado)
    Mke wangu anadanga umasikini chanzo (bado)
    Vibarua Eastleigh na kazi bado (bado)
    Nyuma nayo ya kupanga elimu zero (bado)

    Mama analia cancer matibabu bado
    Heri yule tajiri atatibiwa Ng'ambo
    Baba lini machozi yatafika mwisho
    Fanya hima ushuke tumefika mwisho

    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

    Continúa después del anuncio

    Nikumbushe bado, niambie bado
    Nikumbushe bado, mwanao bado

    Mwanao nimemiss kucheka
    Vile vifunny funny vya wenzangu
    Natamani hata kuona
    Nijue sura ya mke wangu

    Pia mwezi na nyota nione
    Nikichunguza na kuvutia
    Alafu isitoshe
    Shida zimeniandama aah

    Kodi sijalipa (bado)
    Jirani anachoma nyama aah
    Angalau hata mboga (bado)

    Si ati kwamba nasahau
    Unaniwaziaga mema (bado)
    Ila mwisho nimefika
    Lakini nakutazamia (bado)

    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

    Nikumbushe bado, niambie bado
    Nikumbushe bado, mwanao bado

    Mwanao nimemiss kucheka
    Vile vifunny funny vya wenzangu
    Natamani hata kuona
    Nijue sura ya mke wangu

    Mwanao nimemiss kucheka
    Vile vifunny funny vya wenzangu
    Natamani hata kupata baraka
    Nifanane na wenzangu

    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
    Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
    Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

    Nikumbushe bado, niambie bado
    Nikumbushe bado, mwanao bado

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión