Mchanganyiko (feat. Baddest 47)

D Voice

    Continúa después del anuncio

    Weeh serejo mi usinioni kolokuhonga gari napewa mchanganyo
    Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko
    Weeh serejo mi usinioni kolokuhonga gari napewa mchanganyo mimi
    Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko

    Hata kama nikimuhonga gari la kwangu
    Ya nini mpige kelele
    Kwanza me ananipa pekeyangu
    Mchanganyo wake nyuma na mbele

    Hata kama nikimuhonga gari la kwangu
    Ya nini mpige kelele
    Kwanza me ananipa pekeyangu
    Mchanganyo wake nyuma na mbele

    Ndo maana msinione kolokuhonga gari napewa mchanganyo
    (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)
    Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko
    (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko)
    Msinione kwaru kuhonga gari napewa mchanganyo mimi
    (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)
    Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumbaNapewa mchanganyiko ooh! Ona aah!
    (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko)

    Mchanganyo, mchanganyiko
    Mchanganyo, mchanganyiko
    Mchanganyo, mchanganyiko

    Continúa después del anuncio

    Weh! De Ah! Mchanganyiko umenichanganya sio limbwata (taah!)
    Mngejuaga anavyonipaga si mgedata (taah!)
    Hapa ntadata (taah!), pili napata (taah!)
    Tatu niutata nisijefungiwa basata (taah!)

    Weeh nyuma paja figa mbwi sio mademu zenu wakidimbwi
    Akinitaka silingi na akilengesha sirembi

    Kwanza na nyumba ngingiMtoto amejazia
    Na mimi sirembi akinisusia
    Ndo maana akipiga katwazunguwanamtafuta wazungu
    Utamu ukizidi ninyonye mpaka aah!

    (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)
    Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko
    (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko)
    Msinione kwaru kuhonga gari napewa mchanganyo mimi
    (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)
    Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko ooh! Ona aah!
    (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko)

    Me namchuu me namchungulia
    Me namchuu me namchungulia
    Basi me namchuu me namchungulia
    Me namchuu me namchungulia

    Basi me namchungulia, me namchungulia
    Basi me namchungulia, me namchungulia
    Basi kama kweli chula maji, piga msamba piga
    Wanangu wa Kinondoni sijaona mkipiga
    Basi kama kweli chula maji, pga msamba piga
    Wanangu wa Temeke sijaona mkipiga

    (Ngoja ngoja!) Ngoja kwanza
    Basi twende shibe shibe (Haina bei), shibe tena (haina bei)
    Shibe shibe (haina bei), sijaona (haina bei)
    Shibe shibe (haina bei), shibe tena (haina bei)
    Shibe shibe (haina bei), sijaona (haina bei)

    Utamu wa Yesu umejaa kichwani
    Ndo maana me namwaga mambo hadharani
    Weeh Serejo utamu wa Yesu umejaa kichwani
    Ndo maana me namwaga mambo hadharani (twende tena)
    Basi zunguruka, maboxer zunguruka
    Weeh zunguruka, Dida zunguruka
    Weeh basi zunguruka, Mizuna zunguruka, haya aah! Ah!
    Me napewa mchanganyo

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión