Sura yake mtaratibu mwenye macho ya aibu Kumsahau najaribuu ila namkumbuka Sana'a Umbo lake mahbibu kwenye maradhi alonitibu Siri yangu ukaribu bado namumbuka Sana'a Alionifanya silali, jua kali nitafute tukale Lakini hata hakujali darling akatekwa na wale Alionifanya silali jua kali nitafute tukale Ila wala hakujali darling aah Ntampata wapi kama yule nilompendaga sana Ntampata wapi kama yule nanipende sana Aii, aii nyota ah Nyota ndo tatizo langu Aii nyota ah Mpaka nalia peke yangu Aii nyota ah Nyota ndio shida yangu Nyota ah Wamenizidi wenzangu Alidanganywa na wale (wale) Wenye pesa nyumba gari (gari) Mi kapuku hakunijali (jaali) Akanikimbiaa Alidanganywa na wale (wale) Wa mapesa nyumba gari (gari) Mi ungaunga hakunijali (jali) Jaali akanikimbiaa Alionifanya silali, jua kali nitafute tukale Lakini hata hakujali darling akatekwa na wale Alionifanya silali jua kali nitafute tukale Ila wala hakujali darling aah Ntampata wapi kama yule nilompendaga sana Ntampata wapi kama yule anipende sana Bado ananijia ndotoni (bado) Kila nikiamka simwoni (bado) Bado ananijia (ni) kilala Haki ya mungu sio masiara The touch Clever (bado) Hii ni sauti ya raisi (bado) Iliomshindaga Ibilisi (bado) Kwa mwanadamu sio rahisi (bado) Kamwambie (bado) Lazima ujue kutofautisha (bado) Kati ya msalaba na jumlisha (bado) Kuna X na kuzidisha (bado) Nicheche (cheche) Bado ananijia nkilala Haki ya Mungu sio masiara