Continúa después del anuncio

    yatapitaa yanamwisho
    ipo siku tutayasahau watatuheshimu walotudharau
    kaza moyo nivumiliee
    amini tutayasahau watatuheshimu wanaotudharau wotee

    na ntakununulia (vyote)
    mawigi na simu (vyote)
    nitakuzawadia (vyote)
    pochi zenye thamani (vyote)
    na we wenda waringishia (vyote)
    utembee kwa uskani (vyote)
    na vioo ukiwafungia (vyote)

    aloiumba leo ni mungu na ndo ataiumba kesho
    amini fungu letu laja haliko mbalii
    alisema mtazaa kwa uchungu
    tutatafuta kwa mateso
    baby yote yakawaida husijalii
    mmh kidogo nachokuletea husinune pokea
    nipate moyo unifarijii
    navyote navyoongezea husichoke niombea
    mola atubariki zaidii
    wangu kakupa sura kakupa shepu
    nyuma chura mambo yetu
    mwana wa sanura
    mwenzako mimi i love you
    umeniteka medulla niko fyetu
    akili haina ndala iko peku
    umeniburura
    mwenzako mimi i love you
    ooh nivumilie

    Continúa después del anuncio

    yatapita yanamwisho
    ipo siku tutayasahau watatuheshimu walo tudharau
    kaza moyo nivumiliee
    amini tutayasahau watatuheshimu walotudharau wotee

    na ntakununulia (vyote)
    mikufu na simu (vyote)
    ntakuzawadia (vyote)
    pochi zenye thamani (vyote)
    nawe uende walingishia (vyote)
    utembee kwa uskani (vyote)
    na vioo ukiwafungia (vyote)
    ooh baby

    tazama nyota na mbalamwezi zatutazama
    liliwaka jua tukafanya subira
    mmh na ninapokosa nambie mupenzi
    sio kuzozana
    nyumba haijengwi kwa vita hasira
    kwenye macho yako nikiyatazama
    naiona huruma yako mama
    changamoyo mana kuna muda unakata tamaa
    nanoa kisu hatuui mnyama
    na kodi nyundo zatuandama
    ridhiki zama kwa zama
    ya kwetu kesho ya kwao ni jana
    kidogo nachokuletea husinune pokea
    nipate moyo unifarijii
    navyote naviongeze husichoke niombea
    mola atubariki zaidi
    yatapita kipenzi changu

    yatapita yanamwisho
    ipo siku tutayasahau watatuheshimu walo tudharau
    kaza moyo nivumiliee
    amini tutayasahau watatuheshimu walotudharau wotee

    nantakununulia (vyote)
    mawigi na simu (vyote)
    nitakuzawadia (vyote)
    pochi zenye thamani (vyote)
    na we wenda waringishia (vyote)
    utembee kwa uskani (vyote)
    na vioo ukiwafungia (vyote)
    wangu kakupa sura kakupa shepu
    nyuma chura mambo yetu
    mwana wa sanura
    mwenzako mimi I love you

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión