Cifra Club

Milele

Elani

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Malenga wa kubadili zao nia
Kama una masikio sikia
Usije basi ukapuliza gunia
Na wenye roho nyepesi watasengenya
Hawatatuombea
Na mi nishakupenda wee
Kwa wazazi nikupeleke
Na mi nishakupenda wewe, wewe

La, la, la, la, la, la, la, la
La, la, la, la, la, la, la, la
La, la, la, la, la, la, la, la
La, la, la, la, la, la, la, la

Subira jaribu kuivuta leo
Subira jaribu kuivuta eh
Subira jaribu kuivuta leo
Subira jaribu kuivuta leo

Bagua, bagua, utabaguliwa
Pokea utakubaliwa
Tabia tabia, imani ndiyo njia
Nimeamua nikupende
Watu wasitenganishe
Niwe wako milele
Juu mi nishakupenda wewe
Kwa wazazi nikupeleke
Mi nishakupenda eeeeeh

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK