Mbali (feat. Jay Star)

Eljjah

    Continúa después del anuncio

    (Humble yourself)
    Daisho
    Eljjah Hex (Robbie)

    Wakikuona ukipita
    Wengi wanaleta tamaa
    Ila mama mi na we
    Unajua wapi tumetoka
    Wakikuona dada
    Mpaka myoyo yao inawauma
    Ila mama mi na we
    Tunajua wapi tumetoka

    Kama maua tunafanana
    Kama ndege tunaendana
    Basi turuke pamoja aah ah
    Wewe tawi mimi jani
    Wewe maji mimi kiu
    Tusiachane mapema
    Utanitoa roho oh, oh

    Kwako nishafika mi
    Kwako ndo shanasa mi
    Kwako ndo sichomoki my lova
    Kwako ndo shafika mi
    Kwako ndo shanasa mi
    Kwako ndo sichomoki my lova
    My lova my lova ah, ah

    Continúa después del anuncio

    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe
    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe
    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe
    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe

    Oh sitamani
    Sitamani yeah
    Sitamani

    Ndo popo twavuka mto
    Mama we mama we
    Niitwe baba mama watoto
    Ni wewe ni wewe
    Nakitandani mi ndo niwe mto
    Mama we mama we
    Homa ikizidi unipe mseto
    Oh, baby
    Atawakisema kwako mi sitoki my
    Wewe kwangu kama Nandy na Bill Nass
    Tusiwe kama Mond na Zari
    Oh, baby
    Penzi letu kilo sio nusu
    Tuwakomeshe kwani hayiwahusu
    Mi na wewe aah

    Kwako nishafika mi
    Kwako ndo shanasa mi
    Kwako ndo sichomoki my lova
    Kwako ndo shafika mi
    Kwako ndo shanasa mi
    Kwako ndo sichomoki my lova
    My lova my lova ah, ah

    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe
    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe
    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe
    Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe

    Oh, baby
    Kwako nishafika mi
    Kwako nishanasa mi
    Kwako nimefika my lova
    My lova ah yeah, yeah

    Jay Star
    (K-One Music Baby)

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión