Continues after the ad

    Ooh, nanananaa, aah
    Ooh, nanananaa, aah
    Ooh, nanananaa, aah
    Fitzon dai

    Wapo wengi wenye donda, aah
    Huku saa sita imegongaa, aah
    Ibilisi amenisongaa, aah
    Nikiwapa watabongaa, aah
    Maneno yao kisirani, huwa yananichoma mama
    Kutaka kuniweka chini, nami sitaki hunyonge beiby
    (Wanaongana usiku n mchana hili tuachane beiby
    Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama)
    Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama)

    Naitaji upendo wa dhati
    Ila ukiniacha nilewe
    Matatizo yani hurtii
    Ooh ma bebi nielewee
    Ooh ma bebi nielewee

    Wanaringa wataki niwe nawee..
    Iyo ni ndoto
    Wakati mapenzi yangu nawee..
    Wanaitazamia ghetto
    Wakati mapenzi yangu nawee..
    Wanaitazamia ghetto
    Kama safari kwangu mawee...
    Iyo ni bevoo
    Na sitaki kipenzi kingine beiby, ila niwe
    Maisha yangu..
    Ni wewe
    Kipenzi changu ni wewe
    Muhudumu wangu ni wewe
    Doctor wangu ni wewe

    Continues after the ad

    Naitaji upendo wa dhati
    Ila ukiniacha nilewe
    Matatizo yani hurtii
    Ooh ma bebi nielewee
    Ooh ma bebi nielewee

    Hook
    Maneno yao kisirani, huwa yananichoma mama
    Kutaka kuniweka chini, huwa mishemishe mama
    Wanaongana usiku na mchana, hili tuachane beiby
    Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama aa

    Yeaah....
    Fitzon dai beiby
    Changamka starz music
    Back
    Big up panya mtu
    For discovered me fitzon dai
    Holla

    Naitaji upendo wa dhati
    Ila ukiniacha nilewe
    Matatizo yani hurtii
    Ooh ma bebi nielewee
    Ooh ma bebi nielewee

    Oooh ma bebi nielewee
    Oooh ma bebi nielewee
    Oooh ma bebi nielewee
    Oooh ma bebi nielewee

    Song details

    Composition:

    Did you see an error?

    Enviar revisão