Cifra Club

Jeshi

Harmonize

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Yao Yao
Oh nah nah nah
Mmmh

Sometimes what you dream can't be receiving
Na huwezi kuvuna usichokipanda
Thanks God for giving

Ghetto sikuwa na umeme wala cable
Jeans moja T-Shirt na yebo
Ati leo namiliki lebo
Lebo, Konde Gang lebo

Siku zote kisicho kuua
Kitakufanya uwe ngangari
Ata mwanga huwezi kumjua
So ishi nao kwa tahadhari

My sister siku hizi shape ananunua
We pambana upate salary
Ila usisahau pesa maua
So ukikosa hata usijali

One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii

Three love kwa Master na Lita
Mlinifanya hasira zizidii
Four love, njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema niitwe

Jeshi! Konde boy Jeshi!
Na hizi wananiita Tembo
Jeshi! Hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo

Ni Jeshi! Konde boy Jeshi!
Yaani wanangu wananiita Tembo
Jeshi! Hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi

One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii

Ninaamini Mungu yupo
Tena Naongea nae japo sisikii sauti yake
Nikianguka ntainuka tena
So usishangae why Tembo anahustle peke yake

Coz I know, unapokiokota
Ndo wakati wakutunza Ili kesho kisije potea
Na unaposota ndo wakati wa kujifunza
Ili ujue wapi ulipokosea

Sio kama siwezi kujibizana
Ila mwenzenu nimeumbwa na subra
Eey, cheki madili yanavyogogana
Coz nina nyota ya Libra

Mbona siwaoni walotumwa kunitukana
Vichwa vyao viko kibra
Tena siku hizi siimbi sana
Acha washindane na Ibrah

I say One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii

Three love kwa Master na Lita
Mlinifanya hasira zizidii
Four love, njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema niitwe

Jeshi! Konde boy Jeshi!
Na hizi wananiita Tembo
Jeshi! Hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo

Ni Jeshi! Konde boy Jeshi!
Yaani wanangu wananiita Tembo
Jeshi! Hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi

One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii

Konde Boy!

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK